The House of Favourite Newspapers

Wanamuziki wa Hamandobe wajifua kwa Krismas Tanga

0

1

4 5Wanamuziki wa bendi ya Hamadombe wakiwa katika mazoezi nyumbani kwa mkurugezi wao Vijibweni Kigamboni jijini Dar es Salaam.

6 8 9 10 11 12 13 14Wasanii wa filamu wa kundi la Hamadombe ambao nao wanatarajia kutoa filamu kali ya ‘Nakufa kwa ajili yako’.

WANAMUZIKI wa bendi ya Hamadombe, jana wamenaswa jijini Dar es Salaam wakijifua kwa ajili ya shoo kabambe wanayotarajia kuifanya siku ya Krismasi katika ukumbi wa Rombo ulioko Handeni mkoani Tanga.
Akizungumza na mwandishi wa habari hii mkurugenzi wa bendi hiyo na pia mmiliki wa Hamadombe Distibutors inayosambaza filamu, Fatuma Makame ‘Joanita’, ambaye pia ni mdhamini wa shindano la Ijumaa Sexiest Girl la gazeti la Ijumaa linalotolewa na Global Publishers Ltd, amesema kuwa siku hiyo itakuwa ni patashika huku ambapo kundi hilo litatamba na nyimbo nyingi zikiwemo zile za ‘She is Beautiful’ na ‘Bila Haya’.
NA IMELDA MTEMA/GPL

Leave A Reply