The House of Favourite Newspapers

Wananchi wa Nkasi Wampa Tundua Lissu zawadi ya Samaki

Wananchi wa Nkasi Kaskazini wamemkabidhi Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, Tundua Lissu zawadi ya samaki tarehe 24 Machi 2025, wakati Viongozi wakuu wa chama hicho wakiendelea na Ziara zao kwenye mikoa ya kanda mbalimbali nchini kueleza ujumbe uliobebwa kwenye vuguvugu lao la No reforms, no election.