Wananchi Wampinga Mke wa Rais

Wananchi wa Nigeria wamepinga pendekezo la Mke wa Rais wan chi hiyo, Aisha Buhari, juu ya kutaka serikali kudhibiti mitandao ya kijamii kama inavyofanya China.

 

Wananchi wameshauri Serikali ya Nigeria kuaga mabo mengine ya kimaendeleo na sio masuala ya mawasiliano.

Nchi ya china ndiyo inayoongoza kwa kufungia mitandao mingi sana ya kijamii, website pamoja na applications, huku sababu zao zikiwa ni ushindani wa kibishara, kodi, pamoja na udhibiti wa Taarifa nyeti za kiusalama.
Toa comment