The House of Favourite Newspapers

Wananchi Waunganishiwe Maji Ndani ya Siku 7

0

Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso akiwa Tabata-Segerea ameelekeza menejimenti ya DAWASA kuhakikisha inafanyia kazi eneo la Maunganisho ya Maji ili wananchi waweze kupata huduma hii muhimu kwa haraka.

Waziri Aweso amesema haya leo terehe 01 July 2024 katika ziara ya kikazi kwenye mikoa ya huduma ya Maji inayotolewa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira (DAWASA) akiwa na lengo la kufuatilia hali ya huduma ya Maji na kusikiliza changamoto za wananchi.

Leave A Reply