The House of Favourite Newspapers

Wanandoa Wafariki Kwa Helikopta Baada ya Harusi

Image result for Will Byler and Bailee Ackerman Byler
Will Byler na Bailee Ackerman Byler

WANANDOA Will Byler na Bailee Ackerman Byler wamefariki Jumamosi iliyopita baada ya helikopta waliyopanda baada ya kumaliza harusi yao kuanguka kaskazini mwa Uvalde, Texas, Marekani.


Polisi na idara za usalama za Uvalde wamesema ajali hiyo ilihusisha helikopta aina ya Bell 206B ambayo mabaki yake yalionekana jana mapema asubuhi.

Comments are closed.