WANAWAKE wawili wakazi wa jiji la Dar es Salaam, Beatrice Jackson juzi Jumatatu waliibua mshangao kwa kupandiswa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni baada ya kunaswa na Polisi kwa tuhuma za ujambazi wa kutumia silaha.
Wanawake hao walipandiswa kizimbani mbele ya Hakimu Boniface Lihamwike, ambaye aliwasomea shtaka hilo japo waote walikana shitaka hilo.
Comments are closed.