The House of Favourite Newspapers
gunners X

Wanawake Wengi Wapo Jela India Kisa Unga

0

Mwanadada ambaye alikuwa akiishi nchini India kwa ajili ya majukumu ya kikazi, amerejea nchini na kufunguka kuhusu mambo mbalimbali aliyokutana nayo wakati wa kazi.

Amesema kuwa wanawake wengi nchini India wanajikuta wakirubuniwa na baadhi ya wanaume kuingia katika biashara haramu, hali inayowasababisha kukamatwa, kuchukuliwa hatua za kisheria, na hatimaye kutupwa gerezani.

Tufuatilie kupitia YouTube ya Global TV, like, comment ili kuendelea kuhabarika kila siku kwa habari mbalimbali zenye ukweli na uhakika.

Leave A Reply