Waoo..! kama jana vile!-10

ILIPOISHIA RISASI JUMAMOSI:

“Hamna, si nimekwambia nilishasalimu amri we mwenyewe ndiyo umeng’ang’ania, sasa mimi  nifanyeje mama Monica. Au tuache?” aliuliza Magembe…

“Noo noo! Mi nimeshachaji tayari jamani, nipe haki yangu ijulikane moja,” mama Monica alisema kwa kulalamika.

JIACHIE SASA…

 Ilibidi Magembe amuweke sawa mama Monica huku akimwangalia kwa macho yenye ujazo wa mahaba. Moyoni hakuamini kama kweli siku hiyo mama Monica alikuwa mikononi mwake…

“Mama Monica,” aliita Magembe huku akimwandaa mwanamke huyo tayari kwa mchezo wa kitandani kwa kitandani…

“Abee,” mama Monica aliitika kwa sauti ya chini sana iliyozidiwa na mhemko wa mapenzi…

“Unajua siamini…”

“Huamini kama?”

“Siamini kama leo nipo na wewe kitandani.”

“Mh! Jamani Magembe…mi mwenyewe pia siamini…”

“Huamini kama..?”

“Kama nipo na wewe kitandani, tena wawili tu na hatuna nguo, tena tunataka kuivunja amri ya sita ya Mungu.”

Magembe alitabasamu kidogo, lakini bado alikuwa akimuandaa mwanamke huyo. Alikuwa akimshikashika sehemu mbalimbali za mwili ili kumpa hisia zaidi na kumpandisha joto.

Mama Monica kuja kushtuka, tayari mechi ilishaanza muda. Kumbe kule kushikwashikwa, mama Monica hakujua kinachoendelea. Muda wote yeye alikuwa akigugumia kwa sauti iliyojaa mahaba nitoe uhai kama siyo niue…

“We! Kumbe umeninahii…”

“Nimekufanyaje?” aliuliza Megembe huku akilegeza macho…

“Yaani wewe… sijawahi kuona. Umeniingiza uwanjani hata sikujua,” alisema mama Monica huku sasa akiunga mchezo huo kwa kutoa ushirikiano.

Ukimya sasa ukatawala, kilichosikika ndani ya chumba hicho ni mlio wa mbali wa kitanda lakini kwa mbali tena ni kuhema kwa wawili hao ambao iliashiria kuwa wapo kazini kweli.

Kuna wakati, Magembe alitumia ufundi mpya na kumfanya mama Monica kutoa sauti ya kukubali kwamba hapo sawa.

Jasho lilikuwa chapachapa, hakuna aliyekuwa akihangaika nalo kwani kwa wakati huo safari ya kusaka ushindi ilipamba moto.

Mama Monica ndiye aliyeanza kutangaza nia kwa kusema maneno matamu ya mahaba ili kumfanya mwanaume huyo afurahie tukio hilo la siri.

Magembe alipokea taarifa ya mama Monica kwa sauti ya kiume huku akimsisitiza kwamba anamsubiri na atampokea.

Kusikia hivyo, mama Monica alijituma hasahasa mpaka akatangaza kufika kwenye kilele cha mlima aliokuwa akiupanda.

Wakati huohuo, Magembe naye akatangaza nia na kupokelewa kwa bashasha zote huku akiimbiwa nyimbo nzuri za mahaba na kushikwashikwa mgongoni.

Sasa walikuwa wamelala huku wakihema kwa kasi, hakuna aliyesema kitu. Wote walilala wakiangalia juu. Ukimya wao uliashiria kwamba, kila mmoja alikuwa akiwaza jambo lake moyoni mwake mwenyewe…

“Da! Kumbe nilikuwa nakosa uhondo kwa huyu mkaka. Yaani anajua kazi namna hii!?” alisema moyoni mama Monica…

“Mh! Yaani mama Monica alitaka kuninyima raha zote hizi jamani! Ila anaweza. Mumewe anafaidi sana,” alisema moyoni Magembe.

Baada ya dakika kama tatu, mama Monica akaanza sasa…

“Mh! Magembe vipi?”

“Poa, vipi wewe?”

“Mi nipo vizuri. Nashukuru sanasana mama Monica.”

“Hata mimi nashukuru sanasana Magembe. Da! Umenipeleka kwenye ulimwengu mwingine kabisa.”

“Mimi je? Yaani sijui niseme nini!”

“Sema muda umetubana na wewe ni mke wa mtu, yaani isingekuwa hivyo mbona ningekufurahisha zaidi ya hapo mama Monica,” Magembe alimwambia mwanamke huyo.

“Unajua mimi nilifikiri umechoka maana hata baba Monica akipanda mara moja tu huwa hapendi kuendelea…anakuwa hoi, kumbe bado una hamu nami!” mama Monica alimwambia Magembe.

“Jamani mama Monica, kwa jinsi ulivyoumbika namna hii, macho ya kuita, kiuno laini kama hakina mfupa hamu itaisha kweli? Hebu ona kama hii hipsi ilivyojaajaa,” Magembe alimwambia mama Monica huku akichezea hipsi za mwanamke huyo.

Kitendo hicho kilimpa raha sana mama Monica ambaye alijikuta akilemewa na hisia kali za mahaba, naye si akaidaka maiki ya Magembe akawa anaichezea kama alivyopenda, si jamaa akachaji tena.

Kutokana na wote damu kuwaenda mbio, kama alivyofanya awali, Magembe ambaye alikuwa ana staili f’lani hivi za kushtukiza, mama Monica akajikuta akiweweseka kwa raha bila kujua Magembe alimuwekaje sawa.

Wawili hao, walikwenda sambamba na katika mzunguko huo kama ilivyokuwa mwanzo, mama Monica alikuwa wa kwanza kupasua dafu akafuatia Magembe kisha kila mmoja akajitupa huko.

“Hapana wewe mwanaume ni kiboko, hakika umejua kunipa raha!”

“Nami nakushuru mama Monica, leo nitalala vizuri sana, narudia tena asante mama kwa yote uliyonifanyia…”

 

Baadaye walitoka, wakaenda kuoga, wakarudi, wakavaa, wakaondoka wote. Nje, waliagana huku Magembe akitoa waleti mfukoni na kuchomoa kitita cha noti nyekundu…

“Hizi nauli basi,” alisema Magembe.

Mama Monica alisikia aibu kupokea pesa hizo, akazikataa. Lakini Magembe alimtupia kifuani na kuondoka haraka.

Mama Monica aliziokota, akawa anatembea huku akizihesabu…

“Kumi…ishirini…thelathini…arobaini…haamsini…siiiitini…saaabini…he! Laki na hamsini! Jamani, mbona anapenda kujichuna yule mkaka!?”

Alipofika nyumbani, alimkuta mume wake amesharudi muda mrefu. Baada ya salamu, mumewe akamuuliza…

“Leo umechelewa sana mke wangu. Kulikuwa na nini huko? Au yule mbaya wangu amekunasa?”

Mama Monica aliumia sana kwa dhamira, akajikuta akijiumauma…

“Ndiyo amenina…eee…yaani aninase mimi kwani simpen…eee! Kwani sina akili…hawezi kuninasa mimi yule nampe…simpendi kabisa…”

“Wewe mama Monica, mbona unabebanisha maneno?”

“Ah! Kazi nyingi bwana, nimechoka sana leo baba Monica. We niamini mimi siwezi kunaswa kirahisirahisi tu na mwanaume mzuri ka…eee…mwanaume mbaya kama yule.”

Baba Monica alikuja juu, alianza kuhisi kuchanganyikiwa. Alitambua kuna jambo baya kalifanya mkewe na mwanaume huyo…

“Hebu kaa hapa kwanza,” alisema baba Monica, mama Monica wakati anakaa akaangusha saa, viatu na zile pesa alizopewa na Magembe…

JIUNGE NA GLOBAL BRAKING NEWS UPATE HABARI KEMKEM ZA UCHAGUZI MKUU

globalbreakingnews.JPG


Loading...

Toa comment