The House of Favourite Newspapers

Wasanii 7 Toka Bongo Wametajwa Kwenye Tuzo za Soundcity/ Wasanii 3 Toka WCB

Kituo kikubwa cha televisheni ‘Soundcity’ toka Nigeria kimetangaza wasanii ambao watagombea tuzo za Soundcity MVP kwa mwaka 2018.

 

List hiyo ya tuzo imechukua wasanii 7 toka Tanzania ambao ni, Diamond Platnumz, Mbosso, Harmonize, Vanessa Mdee, Navy Kenzo, Maua Sama na Nahreel toka Navy Kenzo kwenye kipengele cha producer (muandaaji wa muziki) wa Africa wa mwaka.

 

Diamond Platnumz ameingia kwenye vipengele sita vikiwemo, mwanamuziki bora wa kiume, mwanamuziki bora wa muziki wa pop, msanii bora wa kidigitali wa mwaka, wimbo bora wa mwaka, Chaguo la wasikilizaji na mwanamuziki wa Afrika wa mwaka.

 

Diamond Platnumz wamekutanishwa uso kwa uso na Harmonize kwenye kipengele kimoja cha ‘msanii bora wa kiume’.

 

Maua Sama akiwa kwenye kipengele chake peke yake kwa bongo lakini akikutanishwa na wasanii wakati toka Nigeria ambacho ni ‘msanii bora wa kike’

 

Navy Kenzo kwenye kipengele cha Kundi bora, Best collaboration na wimbo wao wa ‘Katika’ ukichuana humo ndani na ‘Jibebe’ ya Diamond platnumz na wamekutana tena kwenye kipengele cha chagua la wasikilizaji ambapo hapo wamekaa na Kwangwaru ya Harmonize.

 

Vanessa Mdee amefanikiwa kuingia kwenye kipengele kimoja cha msanii wa kidigitali wa mwaka.

 

Mbosso ameingika katika kipengele cha msanii mpya.

 

Nahreel toka kundi la Navy Kenzo ameingia kwenye kipengele cha (producer) muandaaji wa muziki wa Afrika wa mwaka.

 

Tuzo za Soundcity MVP zinategemewa kufanyika January 5 mwaka 2019 kwenye ukumbi wa Eko Lagos nchini Nigeria

ORODHA KAMILI IPO HAPA

 

BEST MALE MVP
1. BURNA BOY
2. NASTY C
3. MR EAZI
4. OLAMIDE
5. A.K.A
6. SHATTA WALE
7. HARMONIZE
8. DIAMOND PLATNUMZ
9. DAVIDO
10. WIZKID

 

BEST FEMALE MVP
1. BUSISWA
2. SIMI
3. NINIOLA
4. TIWA SAVAGE
5. YEMI ALADE
6. SHEKHINAH
7. EFYA
8. BECCA
9. LADY ZAMAR
10. MAUA SAMA

 

BEST HIP HOP
1. M.I ABAGA
2. KHALIGRAPH JONES
3. NASTY C
4. AKA
5. KWESI ARTHUR
6. PHYNO
7. SARKODIE
8. KWESTA
9. FALZ
10. MEDIKAL

 

BEST POP
1. KIZZ DANIEL
2. FALLY IPUPA
3. TIWA SAVAGE
4. YEMI ALADE
5. DAVIDO
6. DIAMOND PLATNUMZ
7. MAYORKUN
8. WIZKID
9. KUAMI EUGENE
10. MR EAZI

 

BEST COLLABORATION
1. MAKHE – DJ MAPHORISA, DJ SIMBA FT MOONCHILD SANELLY
2. SOCO – STARBOY FT WIZKID, TERRI, SPOTLESS & CEEZA MILLI
3. JIBEBE – DIAMOND PLATNUMZ, MBOSSO, LAVA LAVA
4. KATIKA – NAVY KENZO FT. DIAMOND PLATNUMZ
5. ISSA GOAL – NAIRA MARLEY, OLAMIDE, LIL KESH
6. SPIRIT – KWESTA FT WALE
7. FAKE LOVE – WIZKID AND DUNCAN MIGHTY
8. CLUB CONTROLLER – PRINCE KAYBEE FT LASOULMATES
9. SAID – NASTYC & RUNTOWN
10. AMAKA – 2FACE IDIBIA FT. PERRUZI

 

DIGITAL ARTISTE OF THE YEAR
1. DAVIDO
2. TIWA SAVAGE
3. MR EAZI
4. BURNA BOY
5. CASSPER NYOVEST
6. VANESSA MDEE
7. FALZ
8. WIZKID
9. DIAMOND PLATNUMZ
10. YEMI ALADE

 

VIDEO OF THE YEAR
1. GRINGO – SHATTA WALE
2. MIDNIGHT DRUM – A PASS, ROUGE, FIK FAMEICA
3. SHORT N’ SWEET – SAUTI SOL
4. YE – BURNA BOY
5. FEVER – WIZKID
6. SURRENDA – ADEKUNLE GOLD
7. SCIENCE STUDENT – OLAMIDE
8. KING – NASTY C FT A$AP FERG
9. HEAL THE WORLD – PATORANKING
10. KSAZOBALIT – CASSPER NYOVEST

 

BEST GROUP OR DUO
1. DISTRUCTION BOIZ
2. SAUTI SOL
3. NAVY KENZO
4. MICASA
5. MAFIKIZOLO
6. SHOW DEM CAMP
7. R2BEES
8. TOOFAN
9. GOLD FISH
10. REGGIE N’ BOLLIE

 

SONG OF THE YEAR
1. YE – BURNA BOY
2. SHORT & SWEET – SAUTI SOL FT NYASHINKI
3. AFRICAN BEAUTY – DIAMOND PLATNUMZ FT. OMARION
4. SOCO – STARBOY FT WIZKID, TERRI, SPOTLESS & CEEZA MILLI
5. KATIKA – NAVY KENZO FT. DIAMOND PLATNUMZ
6. MAKHE – DJ MAPHORISA, DJ SIMBA FT MOONCHILD SANELLY
7. SKELETON MOVES – MASTER KG
8. ASSURANCE – DAVIDO
9. AMAKA – TUFACE IDIBIA
10. KWANGWARU – HARMONIZE FT. DIAMOND PLATNUMZ

 

BEST NEW ARTISTE
1. KIDI
2. SHO MADJOZI
3. ODUNSI
4. PERUZZI
5. TENIOLA
6. KIDA KUDZ
7. SHANE EAGLE
8. KING PROMISE
9. KWESI ARTHUR
10. MBOSSO

 

VIEWERS CHOICE
1. YE – BURNA BOY
2. DROGBA – AFRO B
3. SOMISO – WANDE COAL
4. SCIENCE STUDENT – OLAMIDE
5. FEVER – WIZKID
6. SOCO – STARBOY FT WIZKID, TERRI, SPOTLESS & CEEZA MILLI
7. KUPE DANCE – A STAR
8. MAGUN (RMX) – NINIOLA FT. BUSISWA
9. AVAILABLE – PATORANKING
10. TIWA’S VIBE – TIWA SAVAGE

 

LISTENERS CHOICE
1. CLUB CONTROLLER – PRINCE KAYBEE FT LASOULMATES
2. KATIKA – NAVY KENZO FT. DIAMOND PLATNUMZ
3. SOCO – STARBOY
4. YE – BURNA BOY
5. WETIN WE GAIN – VICTOR AD
6. KWANGQARU – HARMONIZE FT DIAMOND PLATNUMZ
7. FAKE LOVE – WIZKID & DUNCAN MIGHTY
8. CONFUSION – KUAMI EUGENE
9. CCTV – KING PROMISE FT. MUGEEZ, SARKODIE
10. ASKAMAYA – TENI

 

AFRICAN PRODUCER OF THE YEAR
1. KILLERTUNES
2. JULZ
3. SARS
4. NAHREEL
5. NORTHBOI
6. DJ TIRA
7. PHANTOM
8. SPEROACHBEATZ
9. FRESH VDM
10. KEL P

 

AFRICAN ARTISTE OF THE YEAR
1. BURNA BOY
2. DAVIDO
3. SARKODIE
4. YEMI ALADE
5. A.K.A
6. TIWA SAVAGE
7. WIZKID
8. DIAMOD PLATNUMZ
9. NASTY C
10. OLAMIDE

 

AFRICAN DJ OF THE YEAR
1. BLACK COFFEE
2. DJ SPINALL
3. DJ MIC SMITH
4. DJ KAYWISE
5. DJ XCLUSIVE
6. DJ NEPTUNE
7. PRINCE KAYBE
8. DJ ARAFAT
9. DJ MAPHORISA
10. DJ VYRUSKY

 

Comments are closed.