Washindi Tuzo za Grammy 2019
USIKU wa kuamkia Februari 11, mwaka huu umekuwa wa bashasha kubwa kwa wasaniii wa Marekani ambapo zimetolewa tuzo za 61 za Grammy ambazo Drake na Kendrick Lamar wameongoza kutajwa katika vipengele vingi zaidi.
Host wa tamasha hilo alikuwa ni mke wa produzya Swizz Beatz, ‘Alicia Keys’. Chini ni orodha ya washindi wote waliotangazwa:
Msanii Chipukizi:
Dua Lipa
Wimbo Bora wa Rap:
Drake – God’s Plan
Album Bora ya Rap:
Cardi B – Invasion of Privacy
Album Bora ya R&B:
H.E.R. – H.E.R.
Album Bora ya Country:
Kacey Musgraves – Golden Hour
Wimbo Bora wa Mwaka:
Childish Gambino – This Is America
Best pop duo/group performance:
Lady Gaga and Bradley Cooper – Shallow
Onesho Bora (pop solo performance):
Lady Gaga – Joanne (Where Do You Think You’re Goin’?)
Album Bora ya Pop Vocal:
Ariana Grande – Sweetener
Album Bora ya Pop Vocal ya Asili:
Willie Nelson – My Way
Best Alternative Music Album:
Beck – Colors
Onesho Bora la Wimbo wa Country (Solo):
Kacey Musgraves – Butterflies
Onesho Bora la Wimbo wa Country (Kundi):
Dan + Shay – Tequila
Wimbo Bora wa Country:
Kacey Musgraves – Space Cowboy
Album Bora ya Dini:
Tori Kelly – Hiding Place
Album Bora ya Latin pop:
Claudia Brant – Sincera
Album Bora ya Americana:
Brandi Carlile – By the Way, I Forgive You
Best compilation soundtrack for visual media:
The Greatest Showman
Best song written for visual media:
Shallow — Lady Gaga, Mark Ronson, Anthony Rossomando & Andrew Wyatt, songwriters (Lady Gaga & Bradley Cooper)
Video Bora ya Mwaka:
This Is America — Childish Gambino, Hiro Murai, video director; Ibra Ake, Jason Cole & Fam Rothstein,Video producers.
Album Bora ya Vichekesho:
Equanimity & The Bird Revelation — Dave Chappelle
Album Bora ya Dance/Electronic:
Woman Worldwide — Justice
Onesho Bora la Rap:
Kendrick Lamar, Jay Rock, Future and James Blake – King’s Dead – TIE Anderson .Paak – Bubblin – TIE
Onesho Bora la R&B la Asili:
Leon Bridges – Bet Ain’t Worth the Hand – TIE
Wimbo Bora wa R&B:
Ella Mai – Boo’d Up
Best rap/sung performance:
Childish Gambino – This Is America
Mtayarishaji Bora wa Mwaka (Non-Classical):
Pharrell Williams
Wimbo Bora wa Rock:
St Vincent – Masseduction
Onesho Bora la Rock:
Chris Cornell – When Bad Does Good
Album Bora ya Rock:
Greta Van Fleet – From the Fires
Onesho Bora la Metal:
High on Fire – Electric Messiah
Best urban contemporary album:
The Carters – Everything Is Love
Comments are closed.