The House of Favourite Newspapers

Washindi wa Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi Walivyokabidhiwa Zawadi Zao

0
Mshindi wa wiki ya saba ya kampeni ya Vodacom Tanzania Plc ‘Ni Balaa, Kila Mtuni Mshindi’ Elias Nakara (Kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi laki tano kutoka kwa Mkuu wa kanda ya Kaskazini wa Kampuni hiyo, George Venanty (kulia), katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Endelea kufanya miamala kwa kutumia M-pesa Super App au piga *150*00# pamoja na kununua vifurushi ili kujiongezea nafasi ya kushinda.                                                            
Meneja Masoko Kanda ya Kaskazini wa Kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania Plc Sarah Mtawa (kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi laki tano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi, Bw. Fred Lukumay (kushoto) katika Duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala kwa kutumia M-Pesa super App au kununua vifurushi kwa kupiga *150*00#                                         
Ni Balaa! Mshindi wa droo ya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Jane Shirima (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya Shilingi laki tano kutoka kwa Msimamizi wa maduka ya rejareja wa Kanda ya kaskazini Irene Mwinyi (kulia) katika duka la Vodacom lililopo Jijini Arusha jana. Kupitia kampeni hii wateja wa Vodacom wanajiongezea nafasi za kushinda kila wakinunua vifurushi au kufanya miamala kupitia M-pesa Super App.                                                                                                                                                                                                       
Meneja Mauzo wa Mkoa wa Arusha, Vodacom Tanzania, Fredrick Laini (Kulia) akimkabidhi mfano wa hundi ya Shilingi lakitano mshindi wa droo ya saba ya Kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu ni Mshindi Sia Hulbert (Kushoto) katika hafla iliyofanyika dukani hapo jana. Ili kuibuka mshindi endelea kufanya miamala na kununua vifurushi kwa kutumia M-Pesa super App. Ni balaa.                                                                                                                                                                             
Ni Balaa! Mshindi wa drooya saba ya kampeni ya Ni Balaa, Kila Mtu Ni Mshindi kutoka Vodacom Tanzania Plc, Bi Cecilia Sambu (kushoto), akipokea mfano wa hundi ya shilingi lakitano kutoka kwa Meneja wa duka la Vodacom Arusha Zeenath Mwindi (kulia) katika hafla iliyofanyika kwenye dukani hapo jana.
Leave A Reply