The House of Favourite Newspapers

Wasomaji Kawe Wachangamkia Magazeti, Droo ya Pili ya Shinda Nyumba

0

MTIMA (1)Ofisa Masoko wa Global Publishers, Jorddan Ngowi (wa pili kulia) akipeana mkono na mshindi wa droo ya awali, John Simon baada ya kuibuka mshindi wa zawadi za awali eneo la kawe kuelekea droo ya pili ya shinda nyumba inayochezeshwa leo maeneo ya Karume jiji Dar.

MTIMA (3)Mmoja wa wachanganya kuponi (katikati) akisoma jina la mshindi wa zawadi za awali za kofia zenye nembo ya shinda nyumba.
MTIMA (2)Msomaji akijaza kuponi yake baada ya kununua gaazeti kwa muuzaji.

MTIMA (5)Kuponi zikiendelea kuwekwa.MMshindi wa zawadi za awali, Martin Philimon akithibitisha jina lake kwa wadau wa magazeti ya Global ili ajipatie zawadi yake baada ya kuchezeshwa droo ndogo ya awali.

PICHA NA DENIS MTIMA/GPL

Leave A Reply