“Joto la Bomobomoa” limezidi kuapanda kwa Wakazi wa Dar es Salaam hususani wale wanaotakiwa kubomoa nyumba zao zinazodaiwa kujengwa maeneo ambayo siyohalali.
Joto hilo limemkumba msanii maarufu wa Bongo Movies, Wastara Juma ambaye nyumba zake mbili hivi karibuni ziliwekewa alama ya X akitakiwa kuzibomoa.
Wastara aliyekuwa miongoni mwa mastaa kibao wa Bongo movies, Bongo Fleva na tasnia nyinginezo nchini alishiriki kwa kiasi kikubwa kupiga kampeni za uchaguzi wakati akikinadi Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Katika audio hapo chini, Wastara amefunguka mazito kuhusu nyumba zake kuwekwa alama ya “X” kwa ajili ya kubomolewa, huku akigusia kujitoa kwake kufanya kampeni ya kukinadi Chama Cha Mapinduzi kiasi cha kuugua.
SIKILIZA MWENYEWE HAPA
Global Publishers and General Enterprises Limited is a registered private company dealing in publishing of weekly Swahili newspapers in Tanzania, namely; Uwazi, Ijumaa, Championi, Amani, Risasi & Ijumaa Wikienda.
2 Comments
Leave A Reply
Cancel ReplyYou must be logged in to post a comment.
Nakushangaa kabisa. Wangini wabomolewe wewe ubaki juu umeinadi CCM.ushauri naweza kukupa Mr Magufuli anataka kurekebisha inchi juu ya kujenga kiholera. Rudi kwa CCM watakusaidia kupata nyumba zingine JUU HAPA KAZI TU. mambo kama hayo karibu awue CCM.sasa basi mama
Utaisoma namba