Wataalamu Upasuaji Kujadili Uboreshaji Huduma

Mganga Mkuu ,Prof. Mohammed Bakari, akizungumza.

WATAALAM na wadau mbalimbali wa masuala ya upasuaji wa binadamu wamekutana jijini Dar es Salaam kujadili namna  wanavyoweza kuongeza huduma za kazi yao, changamoto mbalimbali na masuala mengine husika.

Mkurugenzi na Mwongozaji wa Global Health, Asha Varghese, akizungumza na wanahabari.

Rais wa Chama cha Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Wanawake na Uzazi (AGOTA) Prof. Andrea Pembe, akifafanua jambo.

Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakiwa katika picha ya pamoja.

Na Denis Mtima/GPL


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment