Watanzania Waendelea Kusambaziwa Furaha Kupitia Kampeni Ya Serengeti Maokoto Ndani Ya Kizibo
Serengeti Breweries Limited inaendelea kusambaza furaha kwa watanzania kupitia Kampeni ya Promotion ya Serengeti Maokoto Ndani ya Kizibo. Wiki hii washindi Nane(8) wamepatikana kutoka mikoa ya Dar es Salaam, Arusha, Iringa, Mwanza, Bukoba na Dodoma.
Hivi ndivyo droo ya nne ya kampeni ya Serengeti Premium ‘Maokoto Ndani ya Kizibo ilivyochezeshwa.