The House of Favourite Newspapers

Watanzania Waliokwama Sudan Warejea Nyumbani

0

Ndege iliyowabeba raia wa Tanzania waliokuwa wamekwama Sudan imewasili salama Jijini Dar es salaam.

Watanzania hao waliookolewa waliondoka Sudan kwa mabasi kuelekea Addis Ababa kabla ya kuwasili nchini kwa ndege ya Shirika la Ndege ATCL.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dkt.Stergomena Tax amesema kufuatia siku tatu za kusitisha mapigano nchini Sudan,wameweza kuwasafirisha Watanzania 200, wanafunzi, watumishi wa Ubalozi na raia wengine.

WABUNGE WACHACHAMAA, WAIBANA SERIKALI KWA MASWALI MAZITO, MANAIBU WAZIRI WAJIBU | DODOMA

Leave A Reply