The House of Favourite Newspapers

Wateja wa Airtel waendelea kujishindia pesa taslim kila wiki‏

0

PICT 1 (2)Ofisa mauzo wa Airtel, Fabian Felician (kulia) akimzawadia shilingi million tatu, Isack Willson Mrema   kutoka Dar Es Salaam baada ya kuwa mshindi katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko”.

PICT 2 (2)Meneja Mauzo wa Airtel, Emmanuel Raphael (kulia)  akimpongeza   Josephat Sagati   (kushoto) kutoka Musoma, baada ya kuibuka mshindi   katika droo ya kumi na tatu ya promosheni ya “Jiongeze na Mshiko” na kujishindia shilingi milioni moja.

Leave A Reply