HabariKitaifa WATEJA VODACOM M-PESA KUTOKA MITANDAO YOTE KUSHINDA HADI MILIONI 20 Last updated Dec 14, 2017 Share Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc ,Rosalynn Mworia(kulia) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari jijini Dar es Salaam (hawapo pichani) juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa ambapo wafanyabiashara watakao pokea malipo kwa njia ya M-Pesa watajishindia zawadi za pesa taslim jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana. Promosheni hiyo itadumu kwa muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa watashinda zawadi kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20. Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana (kushoto) akishuhudiwa na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa kampuni ya Vodacom Tanzania Plc ,Rosalynn Mworia(kulia) wakati akifafanua jambo kwa waandishi wahabari (hawapo pichani) jijini Dar es Salaam juu ya mwendelezo wa kampeni ya Pesa ni M-Pesa ambapo wafanyabiashara watakao pokea malipo kwa njia ya M-Pesa watajishindia zawadi za pesa taslim jumla ya shilingi Milioni 200. Kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha M-pesa, Polycap Ndekana. Promosheni hiyo itadumu kwa muda wa miezi 2 na zaidi ya wafanyabiashara 800 wanaopokea malipo kwa M-Pesa watashinda zawadi kila siku, kila wiki, kila mwezi na mshindi wa jumla atajishindia kitita cha Milioni 20 M-PESAvodacom Share
Comments are closed.