The House of Favourite Newspapers

Wateja wa Vodacom Wanufaika na Semina ya Kibiashara‏

0

001MVBaadhi ya wateja wa kubwa na wadogo wa Vodacom Tanzania,wakimsikiliza Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Leon Munyeti,wakati wa semina ya kibiashara kuhusu matumizi ya teknolojia ya mawasiliano kwenye biashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

002MVDaud Kabalika ambaye ni Mteja wa Vodacom Tanzania (kulia) akimuuliza swali Meneja Biashara wa kitengo cha huduma za kifedha cha M-PESA wa Kampuni hiyo Nixon Bonaventure,wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana.

003MVMteja wa Vodacom Tanzania, Pendo Chawe akifafanuliwa jambo na Mshauri wa kibiashara wa Vodacom Tanzania, Goodluck Moshi (katikati) kuhusiana na huduma mbalimbali zinazotolewa na kampuni hiyo kwa wafanyabiashara wadogo na wakubwa wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake iliyofanyika jijini Dar es Salaam jana, kulia ni Nixon Bonaventure.

004MVMeneja biashara wa Vodacom Tanzania,Joseph Muhele (kushoto)akimsihi jambo Jacob David ambaye alikuwa ni mmoja wa washiriki wa warsha iliyoandaliwa na Vodacom Tanzania mahususi kwa wateja wake wa kibiashara jana, jijini Dar es Salaam.

005MVBaadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania,wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa warsha ya kibiashara iliyoandaliwa na kampuni hiyo kwa wateja wake juu ya matumizi ya teknolojia ya mawasiliano katika kuboresha biashara zao iliyofanyika jijini Dar es Salaam, jana.

Leave A Reply