The House of Favourite Newspapers

Watoto Lucky Vincent Walivyopokelewa Shuleni Kwao (Video+Pichaz)

0
Wanafunzi wa Lucky Vincent wakiwa wameketi wakati wa kuwapokea wenzao watatu.

Kutokea katika Shule ya Lucky Vincent, Karatu ikiwa ni siku moja tangu watoto watatu, Wilson, Sadia pamoja na Doreen ambao walinusurika katika ajali ya gari miezi mitatu ilyopita walipokuwa wakienda Karatu katika ziara ya kimasomo wawasili nchini, watoto hao wamekabidhiwa rasmi shuleni kwao kwa ajili ya kuendelea na masomo.

…Wakisalimiana na walimu wao baada ya kuwasili shuleni hapo.

Picha hizi zinaonyesha walivyowasili shuleni kwao na kupokelewa na wanafunzi wenzao pamoja na walimu wao kwa furaha.

…Wakiwasili shuleni.

 

…Wakiwa wameketi.

 

…Baada ya kuwasili shuleni hapo.

 

Mbunge Lazaro Nyalandu akizungumza.

 

Wanafunzi wa Lucky Vincent wakijiandaa kuwapokea wenzao.

 

Maneno ya kuwapa faraja watoto hao yakitolewa.

Mwandishi: Edwin Lindege | GPL

Tazama tukio zima kupitia Global TV Online

Usipitwe na Matukio, Install ===>Global Publishers App

Sikiliza Hadithi za Mtunzi Eric Shigongo Hapa

 

Leave A Reply