Kartra

Simanzi Watoto wa Hans Poppe Wakiaga Mwili wa Baba Yao – Video

MWILI wa Aliyekuwa mjumbe wa kamati ya haki na sheria za wachezaji (TFF) na Mjumbe wa Bodi ya wakurugenzi (Simba SC), Zacharia Hanspoppe, umeagwa tena na familia yake nyumbani kwake Tegeta Ununio jijini Dar es salaam leo Septemba 14, 2021.


Toa comment