Watoto wa Wakimbizi Waungana na Wazazi Wao

Ever Reyes Mejia is reunited with his three-year-old son at the U.S. Immigration and Customs Enforcement office in Grand Rapids, on Tuesday

WAKATI wazazi kadhaa wakimbizi,  wengi wao kutoka Mexico wakiunganishwa na watoto wao waliotenganishwa nao kwenye mpaka wa Marekani na Mexico miezi kadhaa iliyopita kutokana na sera za Rais Trump wa Marekani, wengi wao wanasubiri kuwaona watoto wao.

Watoto kadhaa jana (Jumanne) waliungana na wazazi wao kwa chereko huko Michigan.

Hilo limetokea baada ya Idara ya Uhamiaji kusema wakimbizi hao watakuwa huru wakati matatizo yao yakishughulikiwa na mahakama ya uhamiaji.One of two migrant boys (pictured) and a girl were released to their families in Grand Rapids Michigan Tuesday as the Trump administration attempted to meet the court ordered deadline for immigrant reunification 

This little girl is one of three children under five-years-old, to be reunified with their families Tuesday in Michigan- Trump administration is under a court order to do so. The administration will fail to meet the deadline for reunifying all the children by end of day Tuesday

Loading...


Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment