The House of Favourite Newspapers

Watoto Walivyosherehekea Michezo ya Krismasi Dar Live

dar-live-xmass-1        Watoto wakiogelea katika bwawa maalum lililomo ndani ya ukumbi wa Dar Live.

dar-live-xmass-2

…Wakifurahia mabembea.

dar-live-xmass-3

…Wakiwa stejini kushindanishwa kuimba nyimbo za wasanii mbalimbali.

dar-live-xmass-4

…Wakiendesha baiskeli za watoto zilizomo ukumbini.

dar-live-xmass-5

…Wakipanda sanamu ya picha ya ndege.

dar-live-xmass-6

…Wakifurahia kukaa katika mabembea.

dar-live-xmass-7

…Furaha ikiendelea katika kusherehekea Krismasi.

dar-live-xmass-9

dar-live-xmass-8

WATOTO jijini Dar es Salaam na vitongoji vyake jana walisherehekea kwa furaha kubwa sikukuu ya Krismasi katika Ukumbi wa Taifa wa Burudani wa Dar Live ulioko Mbagala Zakhem.

Katika kituo hicho cha burudani, watoto walipata fursa ya kuogelea katika bwawa maalum lililomo ndani ya ukumbi huo ambapo walishindana pia katika kuimba nyimbo za wasanii na michezo mbalimbali ya kubembea.

Na Denis Mtima/GPL.

Qeen Daleen Live Perfannce Wasafi Beach Part

Comments are closed.