HabariKitaifa Watu 27 Wafariki Katika Ajali Mombasa, Kenya Last updated Apr 25, 2017 0 Share Muonekano wa basi baada ya kupata ajali na watu 27 wamefariki leo na wengine kujeruhiwa baada ya basi walilokuwa wakisafiria kugongana na lori huko Kambu, Mombasa nchini Kenya. Muonekano wa Lori baada ya kupata ajali. Basi likiwa katika muonekano mbaya baada ya kupata ajali. PICHA NA KTN NEWS ajaliKENYA 0 Share