The House of Favourite Newspapers
gunners X

Watu 30 Wafa Kwenye Mgodi wa Madini DRC

0

 

Watu 30 wamekufa baada ya kutokea maporomoko ya ardhi katika mgodi wa madini ya Dhahabu wa Ndiyo, eneo la Watsa katika Jimbo la  Upper-Uele, Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

 

Waziri mwenye dhamana na sekta ya madini, Dieudonne Apasa amesema, idadi hiyo ni ya wale waliotolewa kutoka katika vufusi na kwamba inawezakana idadi ya vifo hivyo kuongozeka.
Mpaka sasa haijafahamika kulikuwa na idadi gani ya watu wakati mkasa huo ukiotokea katika eneo la mgodi la kina cha mita 17.

Leave A Reply