Watu Wenye Mwonekano wa Kipekee Duniani

Kimi

MWANAMITINDO Kimi wa Taiwan ni mmoja wa watu wenye taswira za kipekee ambaye anaweza kulifanya jicho la mtu yeyote kumwangalia zaidi ya mara moja. Ana mvuto wa aina yake kwa mtazamaji, na jicho lake ndilo linaweza kuamua aina ya mvuto huo.

Watu wengine wenye taswira za kipekee ni wafuatao:

 ILka Bruhl Ilka – Mwanamitindo wa Ujerumani

Maeva Giani Marshall – Mwanamitindo, Mmarekani.

  Rapha Souffrant – Mwanamitindo, Mmarekani.

Stephen Thompson – Mwanamichezo, Mmarekani.

Loading...

Stori zinazo husiana na ulizosoma

Toa comment