The House of Favourite Newspapers

Watumishi Wawili wa TPA Wafariki kwa Kutumbukia Baharini

0

Watumishi watatu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania wamefariki juzi usiku baada ya gari waliyokuwa wakitumia kwenye doria kuacha njia na kutumbukia baharini kwenye gati namba zero katika bandari ya Dar es salaam (Eneo hilo lina kina cha maji mita 14).

Miili ya marehemu imehifadhiwa katika chumba maalum hospitali ya taifa Muhimbili.

Leave A Reply