Wazamiaji Wanawake Wakifanya Mazoezi ya Uokoaji Baharini – VIDEO

Polisi Kikosi cha Maji wamefanya mazoezi ya uokoaji kuonyesha namna wanavyoweza kukabiliana na matatizo yanayoweza kutokea majini.

Akiongoza zoezi hilo Kamanda wa Polisi kupitia kikosi cha Maji,  Evance Mwijage amesema zoezi lililofanyika leo linawahusu askari wa kike na lengo ni kuonyesha ni namna gani jeshi hilo lipo na ukakamavu

Loading...

Toa comment