Wazazi wa Ali Dangote Wasema Wameumia Hakuna Msiba Atazikwa Kimyakimya – Video
Kufuatia kifo cha kijana maarufu kwa jina Ally Dangote aliyekuwa tishio kutokana na kufanya matukio ya kihalifu ikiwemo mauaji, ubakaji, uporaji na kuwachoma watu visu jijini Arusha, Global TV imewatafuta baadhi ya ndugu zake na kuzungumza nao.
Huyu ni ndugu wa karibu anayemjua tangu akiwa mtoto mdogo.