Waziri Kairuki Atembelea Wanafunzi Walemavu Dar

 

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki (katikati),  akitoa misaada kwa wanafunzi  wa kike walemavu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko  jijini Dar es Salaam leo.

…Akiwa na baadhi ya wanafunzi.

KATOKA  kuadhimisha Siku ya Mtoto wa Kike Duniani, Waziri wa Madini, Angellah Kairuki, mlezi wa taasisi ya Doris Mollel, awatembelea wanafunzi wa,kike walemavu wa Shule ya Msingi Uhuru Mchanganyiko  na kuwapa nasaha zitakazowajengea uwezo wa kupambana na changamoto za kila siku na akawapa taulo za kike 400.

 

“Kama mama ninatamani kuona kila binti anafikia malengo yake, haijalishi yuko katika hali gani ya maumbile… nitandelea kuwasemea kila ninapopata nafasi,” alisema Kairuki wakati akiongea na wanafunzi hao.

 

PICHA: IMELDA MTEMA | GPL

Loading...

Toa comment