The House of Favourite Newspapers

Waziri Mchengerwa Awasimamisha Kazi Wakurugenzi Wawili

0
Butamo Nuru Ndalahwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha

Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewasimamisha Kazi Wakurugenzi wawili, Butamo Nuru Ndalahwa wa Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, Lena Martin Nkaya ili kupisha uchunguzi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, Lena Martin Nkaya

Mchengerwa amechukua hatua hiyo baada ya kupokea taarifa ya awali ya timu iliyoundwa kuchunguza tuhuma za Wakurugenzi hao kushindwa kusimamia Miradi ya Maendeleo katika Halmashauri zao

Leave A Reply