Waziri Mkuu Afika kuhani msiba wa Theresia Mdee Area D, Dodoma
Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa Julai 31, 2024 amehani msiba wa Theresia Mdee ambaye ni Mama Mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mheshimiwa Halima Mdee, nyumbani kwa Halima Mdee Area D, jijini Dodoma