The House of Favourite Newspapers

MJALIWA AKUTANA na Mwinyi, Lugola, Kabudi na Mahiga

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Hussein Mwinyi (kutoka kushoto), Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Alphaxard Lugola, Waziri wa Katiba na Sheria Paramagamba Kabudi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Augustine Mahiga, ofisini kwake Mlimwa jijjini Dodoma  Februari 3, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania Richard Mayongera, ofisini kwake Mlimwa jijjini Dodoma  Februari 3, 2019. 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na Mtendaji Mkuu wa Mahakama Hussein Katanga, ofisini kwake Mlimwa jijjini Dodoma  Februari 3, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

JIUNGE NA FAMILIA YA GLOBAL TV UPANDE MTANDAO WA MAFANIKIO


Bofya hapa kujiunga na familia ya Global TV Club ==> Global TV Family Club

Comments are closed.