The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Alipohutubia Mkutano wa Hadhara Kijiji cha Lamadi

0

IMGS6265 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Lamadi wilayani Busega  kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara wenye uwanja wa michezo Machi 2, 2016.

IMGS6302Mbunge wa Busega Dkt Raphael Chegeni (kushoto) na Mbunge wa zamni wa jimbo hilo, Dkt Titus Kamani ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM wa Mkoa wa Simiyu wametangaa rasmi kuzika tofauti zao na kushirikiana  kuleta maendeleo kwenye jimbo hilo. Pichani  viongozi hao wakiwadhihirishia wananchi kuwa hawana chukui wala ugomvi tena na kuwa uchaguzi umekwisha katika mkutano wa hadhara uliohutubiwa na Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa kwenye kijiji cha Lamadi wilayni Busega Machi 2, 2016.
IMGS6346Waziri Mkuu, Kasim Majliwa akionyesha usinga na mkuki  ambavyo alipewa na wazee wa Kisukuma wa Busega katika mkutano wa hadhara katika kijiji cha Lamadi Machi 2, 2016. Wazee hao pia walimbatiza jina la Massanja.IMGS6359
IMGS6384Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutyubia mkutanowa hadhara katik kijiji cha Lamadi wilayani Busega Machi 2, 2016.
(Picha zote na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Leave A Reply