Waziri Mkuu Apokea Misaada ya ya Shilingi Bilioni 1.185 Kukabiliana na COVID-19

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa akipokea msaada wa Magodoro 150 na Mashuka 100 toka kwa Afisa Biashara Mkuu wa GSM Group, Allan Chonjo (kushoto) kwa ajili ya kupambana na janga la Ugonjwa wa Corona Nchini.

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe Ummy Mwalimu (katikati) akiongea jambo na Allan Chonjo.

Waziri mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa msaada wa fedha pamoja na vitu mbalimbali kwa ajili ya kukabiliana na ugonjwa wa homa kali ya mapafu unaosababishwa na virusi vya corona (COVID-19) wenye thamani ya Tsh Bilioni 1.185  kutoka kwa wadau.

Toa comment