Waziri Mkuu Arejea Nchini Akitokea New York nchini Marekani
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Octoba 01, 2024 amerejea akitokea New York nchini Marekani, ambapo alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 79 wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa (UNGA79).