Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Septemba 07, 2024 ameshiriki katika mbio za hisani za Maendeleo Bank Marathon 2024 zilizoanzia na kuishia katika viwanja vya Greenpark garden Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Lengo la mbio hizo ni kukusanya zaidi ya shilingi milioni 200 kwa ajili ya kusaidia watoto wenye changamoto mbalimbali hapa nchini.
Kauli mbiu ya mbio hizo ni “Hatua ya Faraja- Msimu wa Pili”.
WAZIRI MKUU MAJALIWA AELEZA HATUA ZINAZOCHUKULIWA na SERIKALI AKIAHIRISHA BUNGE – ATOA KAULI