WAZIRI Mkuu Ethiopia Ameteua Baraza la Mawaziri, Aweka Rekodi Hii

WAZIRI Mkuu wa Ethiopia, Abiy Ahmed ameteua baraza la mawaziri 20, ambapo 10 kati yao ni wanawake. Kwa mara ya kwanza mwanamke ameteuliwa kuwa Waziri wa Ulinzi. Akielezea uamuzi huo alisema, wanawake si wala rushwa kama wanaume, na watasaidia kurejesha amani ya nchi.

Toa comment