Waziri Mkuu Kassim Majaliwa afanya Usafi Soko Kuu Kariakoo, Dar

majaliwa (2)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisafisha mtaro wa maji machafu kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam, leo Desemba 9, 2015.
majaliwa (3)Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitoka eneo la shimoni kwenye Soko Kuu la Kariakoo kufanya usafi Desemba 9, 2015. Kulia kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.
majaliwa (1)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na umati ulioshiriki katika kufanya usafi kwenye soko kuu la Kariakoo jijini Dar es salaam Desemba 9, 2015. Kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ilala, Raymond Mushi.

Loading...

Toa comment