The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Akutana na Viongozi wa Airtel

0

IMGS4509
Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Sunil Bharti Mittal kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Februari 18, 2016.
IMGS4511Waziri Mkuu, Kasim Majaliwa akisalimiana na Mtendaji Mkuu wa Airtel Afrika, Christian Defaria (kulia) na Mwenyekiti wa Kampuni ya Simu za Mkononi ya Bharti Airtel ya India, Sunil Bharti Mittal (katikati) kabla ya mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu jijini Dar es salaaam Februari 18, 2016.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave A Reply