The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amjulia hali Sumaye

0

sumaye 2

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu leo Januari 12, 2016. 

sumaye

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa matibabu leo Januari 12, 2016.

Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa na mkewe wamemtembelea na kumpa pole Waziri Mkuu Mstaafu Frederick Sumaye leo jijini Dar.

Mhe. Sumaye amelazwa katika Taasisi ya Jakaya Kikwete iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili Jijini Dar es Salaam ambapo anaendelea na matibabu.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Leave A Reply