Waziri Mkuu Azungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South Summit’
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezungumza katika mkutano wa pili wa Jukwaa la Sauti ya Nchi Zinazoendelea ‘Voice of Global South Summit’ Novemba 17, 2023 kwenye ukumbi wa mikutano wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Mlimwa Jijini Dodoma.
Mheshimiwa Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano huo ambao umefunguliwa na Waziri Mkuu wa India Narendra Modi.
Waziri Mkuu ameshiriki mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao ‘Video Conference’