Waziri Mkuu kuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Disemba 10, 2023, amewasili katika viwanja vya Nyerere Square Jijini Dodoma. Ambapo atakuwa mgeni rasmi kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya Maadili na Haki za Binadamu alipowasili ametembelea mabanda maonesho ya Wizara na taasisi mbalimbali za Serikali.