The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Majaliwa Achanjwa Chanjo Ya Corona Dar -Video

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amechoma chanjo ya UVIKO-19, wakati Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan alipozindua zoezi la uchomaji wa Chanjo hiyo katika Viwanja vya Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 28 Julai, 2021.

Leave A Reply