The House of Favourite Newspapers

Waziri Mkuu Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi

0

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amezindua Kiwanda cha kutengeneza virutubishi (premix blending plant), cha kampuni ya SANKU – PHC Tanzania.

Viongozi wengine walioshiriki katika hafla hiyo ni Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Ummy Nderiananga na Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Exaud Kigahe

MWANAJESHI AMUAMBUKIZA UKIMWI MWANADADA – AMSHTAKI – ”TANGU 2007 ANAISHI na UKIMWI HAKUNAMBIA”…

Leave A Reply