Waziri Nape Baada ya Simba Kutinga Robo Fainali, Ajilipua – “Hili Jambo Nimeliingilia Mwenyewe Sasa”-Video
WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye akizungumza mara baada ya Simba kuichapa USGN ya Niger kwa bao 4-0.
Ushindi huo umeifanya Simba kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika