WAZIRI PALAMAGAMBA AIPONGEZA GLOBAL EDUCATION LINK

Waziri Palamagamba akipokelewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Global Education Link, Abdulmarick Mollel baada ya kuwasili kwenye mahafali hayo.

Taasisi ya Global Education Link ambao ni mawakala wa vyuo vya nje ya nchi leo imewafanyia mahafali ya kimataifa wanafunzi iliyowaunganisha na vyuo vya nje na kufanikiwa kupata shahada mbalimbali.

Wageni waalikwa

Mahafali hayo yamefanyika Ukumbi wa Mikutano wa Mlimani City, Dar ambapo Mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika Mashariki.

Prof. Palamagamba Kabudi ambaye aliipongeza Global kwa mpango wake wa kuwarahisishia Watanzania kusoma nje ya nje.

Waziri akiwa kwenye picha ya pamoja na wahitimu pamoja na wageni wa waheshima.

Wahitimu waliomaliza nje ya nchi.

Sehemu ya wawakilishi wa vyuo walivyohitimu wahitimu hao.

Ruby akitoa burudani kwenye mahafali hayo.

Mkurugenzi wa Global Education Link akizungumza na wageni waalikwa (hawapo pichani).

 

Waziri Palamagamba akiipongeza Global kwa mpango wake uliofanikisha wahitimu hao kupata elimu hiyo na pia aliwapongeza wahitimu hao kufanya kilichowapeleka huko.

Waziri Palamagamba akiipongeza Global kwa mpango wake uliofanikisha wahitimu hao kupata elimu hiyo na pia aliwapongeza wahitimu hao kufanya kilichowapeleka huko.

(HABARI/PICHA NA RICHARD BUKOS / GPL)


Loading...

Toa comment