Kartra

Waziri Ummy Amlilia Mtendaji wa Mtaa Aliyeuawa Dar

Waziri wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Ummy Mwalimu amepokea kwa Masikitiko taarifa za kifo cha Mtendaji wa Mtaa wa Msumi, Kata ya Mbezi, Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo Mkoa wa DSM Kelvin Mowo kilichotokea 11 Oktoba 2021. Ofisini kwake baada ya Kuvamiwa na Kupigwa Mapanga na watu wasiojulikana.

 


Toa comment