The House of Favourite Newspapers

Waziri Wa Fedha Athibitisha Kutumika Kwa Var Kwenye Ligi Kuu – Video

0

“Msimu ujao wa Ligi Kuu ya Tanzania tutaanza kutumia teknolojia ya video za kumsaidia refa (VAR) ili kuhakikisha matokeo yanayopatikana uwanjani yanakuwa ya haki maana kuna timu zimezidi – msimu mmoja penati 10, halafu zikifungwa zenyewe magoli yanakataliwa.

“Na ili tuwe na VAR za kutosha katika viwanja vyote, naleta pendekezo la kutoa msamaha kwenye uingizaji wa mashine za VAR na vifaa vyake kwa ufafanuzi utakaotolewa hapo baadae. INAWEZEKANA”

Hayo yamesmwa na Waziri wa Fedha, Dkt. Mwigulu Nchemba akiwasilisha bungeni Bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/24.

Leave A Reply