The House of Favourite Newspapers

We baba fanueliii!!!-19

0

ILIPOISHIA

Wala hawakuchukua muda mrefu, wakafika nyumbani kwa mama Zubeda, alichokifanya ni kuingia ndani bila kugonga hodi, alipofika sebuleni, akamkuta baba Zubeda akiwa kajaa tele. Mama Zubeda naye akaingia huku akitetemeka.

TEMBEA NAYO

Kuna nini? Mbona mkukumkuku?” aliuliza baba Zubeda.

“Kuna jambo muhimu sana nataka kuzungumza nawe!”

“Nani? Mimi?”

“Ndiyo!”

“Sasa hivi?”

“Hapana! Baadaye, yaani nimewahi hapa nina haraka mno. Baadaye unaweza kupata nafasi?”

“Bila shaka,” alisema baba Zubeda huku akimwangalia baba Fanueli kwa macho yenye shauku ya kutaka kujua nini alitaka kumwambia.

Baba Fanueli hakutaka kubaki mahali hapo, alichokifanya ni kuondoka huku akimwacha baba Zubeda akiwa na maswali mengi kichwani. Mama Zubeda akashusha pumzi ndefu, akamfuata mumewe pale kochini na kukaa karibu yake.

“Mmh! Huyu baba Fanueli anaweza kutuua kwa presha, alivyonikuta nje, kaja mkukumkuku kutaka kuonana nawe mpaka nikajiuliza kulikoni,” alisema mama Zubeda huku kwa mbali akionekana kuanza kuchangamka.

Huu uzee unampeleka puta sana, sijui anataka kuniambia nini! Ngoja, nitamtafuta,” alisema baba Zubeda.

Mama Zubeda aliishiwa pumzi, alijua fika kwamba kama asingemtafuta baba Fanueli na kumuomba msamaha zaidi basi ilikuwa ni lazima mzee huyo amuoneshe picha zile mume wake na hivyo kuanzisha timbwili nyumbani. Hakutaka hilo litokee, nusu saa baadaye akamtafuta kwenye simu.

“Naomba unisamehe!” alisema mama Zubeda.

“Siwezi kukusamehe! Siwezi kamwe.”

“Naomba unisamehe, utaniaibisha mwenzio, nipo tayari kufanya chochote kwa ajili yako lakini si kumuonesha mume wangu hizo picha,” alisema mama Zubeda.

“Umesemaje? Upo tayari kufanya chochote?”

“Ndiyo! Ili unisamehe tu.”

“Hebu tuonane kwanza tulizungumze hilo kiutu uzima.”

“Tuonane wapi?”

“Gesti ya Mramba kule Tandale.”

“Gesti tena?”

“Ndiyo! Niambie utakuja usamehewe?”

“Nitakuja. Utanielekeza. Saa ngapi?”

“Saa kumi na moja.”

“Sawa.”

Alijua fika kile kitakachokwenda kutokea, alijua kabisa kwamba baba Fanueli alikuwa na lengo gani juu yake, kwa kipindi hicho, alifikwa na maji ya shingo hivyo alikuwa tayari kwa kila kitu ilimradi tu asamehewe.

Saa kumi na nusu ilipofika, akajiandaa, alivalia vizuri, akakinyanyua kifua chake na kuzifanya nazi kusimama wima, akajipulizia manukato ya mahaba kisha kumpigia simu baba Fanueli ambaye alimuelekeza mahali gesti hiyo ilipokuwa.

Mama Zubeda akachukua bodaboda na kuelekea huko. Alipofika, akateremka na kuanza kuelekea ndani ya gesti hiyo ambapo maagizo yake akayakuta mapokezi kwamba apite moja kwa moja mpaka kwenye chumba namba nane, akaelekea huko.

“Karibu…” alimkaribisha baba Fanueli huku akiwa na nguo ya ndani tu, kajilaza kitandani.

“Asante.”

Mama Zubeda akasogea mpaka kitandani na kukaa karibu na baba Fanueli. Mzee huyo akaanza kumwangalia kwa macho ya kumchunguza, hakutaka kuremba, hapohapo akamsogelea na kumvutia kwake.

“Unanukia vizuri…”

“Asante…”

“Upo tayari kufanya chochote nitakacho?”

“Nipo tayari ila kama unaniahidi kwamba picha utazifuta na kutokumuonesha yeyote,” alisema mama Zubeda kimahaba.

“Usijali. Nitafanya hivyo mbele ya macho yako.”

Baba Fanueli hakutaka kuchelewa, hapohapo akaanza kuupeleka mdomo wake katika kifua kilichobustiwa cha mama Zubeda na kuanza kufanya utundu wake, siku hiyo, mzee huyo alitaka kufanya kila kitu kwa ustadi mkubwa, kwake ilikuwa ni kama kulipa kisasi.

Alipoona ameridhika na kifua kile, akahamia sehemu nyingine kwa kuanza kumvua nguo moja baada ya nyingine. Ndani ya dakika moja tu, mwanamke huyo alikuwa kama alivyozaliwa.

“Kumbe unanoga sana,” alisema baba Fanueli, hakuamini kama mama Zubeda angekuwa na umbo tamu kama alilokuwa nalo.

“Ushindwe wewe tu.”

“Kweli?”

“Yote ni mali yako, nipo radhi kwa lolote….” alisema mwanamke huyo kwa sauti ya mahaba huku akiunyonganyonga mwili wake kitandani pale. Alichokifanya baba Fanueli ni kumwambia mwanamke huyo aanze kumchaji kabla hajaanza kazi, mama Zubeda akaanza kumpandisha chaji.

Leave A Reply